PATA RAMANI ZA NYUMBA BOMBA ZENYE GHARAMA NAFUU KABISA.21 comments:

 1. naomba unipe gharama ya ujenzi hadi kukamilika kwa hiyo nyumba
  David
  Mtwara

  ReplyDelete
  Replies
  1. hello David; kama ni mahesabu kumbuka pia ni part ya kazi inayostahili kulipiwa tunaita kiufundi (BOQ)
   kama utahitaji zaidi huduma zetu wasiliana kwa 0763815054 email berot54@yahoo.com. asante kwa kutembelea BEROT wakaribishe na wengine wapate huduma zetu

   Delete
 2. habari, na pole na shughuli kiongozi.samahan ndugu kwa raman ya nyumba ya vyumba vinne vya kulala viwili vkiwa ni mstr bdroom sebure na chumba cha kusomea anbacho kitatumika kama chumba cha salaa,jiko na sehemu ya chakula shiling ngapi?.NGARE

  ReplyDelete
 3. hakuna group la whatsapp linalotoa updates mbalimbali kwa wateja au Raia wema watakaopenda kupata updates kuhusu mijengo ya kisasa

  ReplyDelete
 4. Sleifik hajjir kutoka zanzibar hata mm nahita icho kitu ila iwe smpo sana maana je kama kuna group yoyote niambie pia niatalipia wa mucjali

  ReplyDelete
 5. Nahitaji nyumba ya kawaida sana ya vyumba vitatu garama yake sh ngap

  ReplyDelete
 6. Nahitaji makisio ya vifaa kwa nyumba ya ghorofa ya floor 1 yenye vyumba 3 juu na 3 chini plus dining, seating, na kitchen. My e mail: sirikitoi@gmail.com

  ReplyDelete
  Replies
  1. This comment has been removed by the author.

   Delete
  2. Nami ningepeda kupata huu mrejesho muhengagabriel@gmail.com

   Delete
 7. KARIBU BEDATZ.COM EMAIL YETU NI ezeqieljohn91@gmail.com pata vyumba vitatu na vine vyenye master na nyumba yenye gorofa moja karibuni no 0763399741

  ReplyDelete
 8. MIMI NAITWA WILLIAM LUKUVI NATAKA RAMANI YA NYUMBA VITATU NI SH NGAPI

  ReplyDelete
 9. Sasa tunakupataje? Maana hata haujibu comments zetu. Naomba uweke hapa mawasiliano yako basi

  ReplyDelete
 10. safi zipo kazi nzuri sana naomba mnicheki tufanye connection fulani kwa ajili ya kuexpande soko lenu zaidi mana wahitaji ni wengi my email yangu ni
  alfachengula94@gmail.com au 0754220454

  ReplyDelete
  Replies
  1. email CORRECTION: wavemediapro.tz1@gmail.com

   Delete
 11. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kwa mahitaji ya Picha nzuri na Video za kisasa kwenye Sherehe yako tufollow kwenye INSTAGRAM,FB na YouTube.. Wave Media Pro. Tanzania. Ukiwa na shughuli yoyote tutakufanyia kwa ghalama nafuu sana kwa maelezo zaidi ingia Instagram utapata kuona kazi nzuri pamoja na YouTube. Pia ofisi zetu ziko Kinondoni DSM. 0715020665. DSM Tz. wavemediapro.tz1@gmail.com

   Delete
 12. Kwa mahitaji ya Picha nzuri na Video za kisasa kwenye Sherehe yako tufollow kwenye INSTAGRAM,FB na YouTube.. Wave Media Pro. Tanzania. Ukiwa na shughuli yoyote tutakufanyia kwa ghalama nafuu sana kwa maelezo zaidi ingia Instagram utapata kuona kazi nzuri pamoja na YouTube. Pia ofisi zetu ziko Kinondoni DSM. 0715020665. DSM Tz. wavemediapro.tz1.tz1@gmail.com

  ReplyDelete
 13. Actually gharama halisi ya kitaalamu (BOQ) ila walao makadirio ya chini...ungekuwa unaweka na gharama za makadirio ingependeza zaidi!

  ReplyDelete